NAIBU Waziri wa Nishati ambaye pia ni Mbunge wa Vijana Mkoa wa Ruvuma (CCM), Judith Kapinga ameahidi kutoa kompyuta 139 ...
Katibu Mkuu Ofisi ya Makamu wa Rais Mhandisi Cyprian Luhemeja leo Novemba 29 Dar es Salaam katika hotuba ya ufunguzi wa ...
RAIS Samia Hassan Suluhu anatarajiwa kufungua mkutano Mkuu wa 21 wa Chama cha Majaji na Mahakimu wa Afrika Mashariki (EAMJA) utakaofanyika Arusha kuanzia Desemba 2 hadi 7 ,mwaka huu. Lakini pia ...
MWANZA; Aliyekuwa Mkuu wa Mkoa wa Simiyu Dk. Yahaya Nawanda ameshinda Kesi ya Jinai namba 1883/2024 iliyokuwa inamkabili ...
DAR ES SALAAM :Gari litakalobeba mwili wa Mkurugenzi Mteule wa Shirika la Afya Duniani ( (WHO) Kanda ya Afrika na Mbunge wa ...
TUME ya Huru ya Taifa ya Uchaguzi (INEC) imewatoa rai kwa wananchi kutojiandikisha zaidi ya mara moja katika Daftari la ...
WAJASILIAMALI wadogo na kati kutoka barani Afrika wamehimizwa kuwekeza Tanzania hususan sekta ya utalii kwani ndio sekta ...
Dk Ndugulile alifariki dunia usiku wa kumkia juzi nchini India akipatiwa matibabu. Kwa mujibu wa taarifa ya Bunge la Tanzania ...
SERIKALI inatambua mchango wa sekta binafsi katika uwekezaji na imeendelea kuboresha mazingira ya uwekezaji na biashara ...
MMFUMO wa Usimamizi wa Ununuzi wa Umma Kielektroniki (NeST) umeshinda tuzo ya “Mfumo Bora Zaidi wa Ununuzi wa Umma Barani ...
MWANAMITINDO wa Kimataifa Millen Happiness Magese ametangazwa kuwa Jaji Mkuu wa Tamasha la Samia Fashion litakalofanyika ...
MKURUGENZI Mkuu Mteule wa Shirika la Afya Dunia (WHO) Kanda ya Afrika, Faustine Ndugulile atazikwa Desemba 3, Kigamboni Dar ...