Rais wa China Xi Jinping amesema kwamba utulivu na uhakika wa uhusiano wa China na Urusi ni wa thamani hasa katika mazingira ...
Mazungumzo kati ya Marekani, Iran na Pakistan yameanza siku ya Jumamosi jijini Islamabad, yakiwa ni mazungumzo ya kwanza ya ...
Naibu Waziri wa mambo ya nje wa Iran Saeed Khatibzadeh, amesema hadi sasa hakuna tarahe yoyote iliyowekwa ya kufanyika duru ...
Akichukuliwa kuwa mtu mwenye nguvu zaidi nchini Pakistan, Marshal Asim Munir amejiimarisha kama mpatanishi muhimu kati ya ...
Waziri Mkuu wa Japani Takaichi Sanae anasema alizungumza na Waziri Mkuu wa Pakistan Shehbaz Sharif na kutoa shukrani zake kwa ...
Matukio mapya yanaibuka ambayo yanaweza kuashiria mwisho wa mzozo kati ya Marekani na Iran. Rais wa Marekani Donald Trump ...
Mazungumzo ya saa 21 kati ya Marekani na Iran yakivunjika bila makubaliano, yakihatarisha usitishaji vita na usalama wa usambazaji wa mafuta duniani.
Wiki iliyopita, Waziri Mkuu wa Pakistan, Shehbaz Sharif, alipokutana na Mrithi wa Kiti cha Ufalme wa Saudi Arabia, Mohammed bin Salman, mjini Riyadh, walikumbatiana kwa ishara ya mshikamano. Mkutano ...
China imefungua mkondo mpya katika kampeni yake dhidi ya Japan katika Jimbo la Okinawa, ambalo linazunguka sehemu kuu ya Visiwa vya Ryukyu, kwa kuwasilisha simulizi ya "hali isiyo wazi ya kisheria ya ...